chakufanya arudi kwao atafute kazi yakufanya mumewe ampendi uyo binti kwakifupi atamchakaza tu kwani jamaa anaonekana Ana upeo mdogo ktk mapenz ndo mana anashindwa kuijali familiar yake ni bora uyo binti kurudi kwao kuliko kuwapa mzigo wanaume wengine ili spate kujikimu kwa kifupi anauza mzigo...
they say instute selected university of Dodoma simply ni upo kwenye selection ya university of Dodoma kwa ufahamu wangu tcu kazi Yao nikupeleka majina kulingana na chuo na sifa zako lakini chuo kikikukataa uwez kuwa institute selected utaambiwa ufanye tena selection ya round ya pili na...
mi nafikili as longer as tumeshakuwa ktk admission result selection 2014/2015 na tumepangiwa chuo sidhani kama ninuhimu kuwa kwenye list wakati tumekuwa institution selected nikufukuzia admission letter tu au wadau mna maoni gani kuhusu mawazo yangu naomba idea zenu pia maana aya mambo sometimes...
kozi zingine atuzioni na majina yetu pia ayapo kwenye list ya second batch lakini list ya tcu tupo tumechaguliwa udom sasa hapo inakuwaje msaada wenu wadau mnaoelewa ili swala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.