Hatimaye Wananchi wameamua nani anayekubalika katika Mikoa 15 na kata 27, pale waliposema na kupaza sauti zao kwa njia ya kura kuwa, Watu wenye vurugu, matusi, wabishi, mapanga sha, waandamanaji, wapenzi wa chopa, wanaokejeli serikali, wote wenye tabia hizi HAKUNA KURA. wananchi kutoka kata 24...