Recent content by Jamming

  1. Jamming

    JamiiForums Kumekucha Dar: Mwalimu St. Florence abainika kugeuza watoto kuwa wake zake, wazazi waja juu

    So sad, inahuzunisha kuona kuwa watu walioaminiwa na kuachiwa kulea hawa viumbe ndo wanawageuka tena! Dah poleni wazazi amvao wanenu wamefanyiwa kitendo kichafu na mwalimu Ayubu, ila nadhani sheria zingewekwa ambazo zitawapunguzia walimu wa jinsia tofauti chance ya kuwa karibu na wanafunzi wa...
  2. Jamming

    JamiiForums Nifahamisheni kuhusu chuo cha social works Kinondoni

    Kwa mnaokifahamu chuo cha social works cha Kinondoni. Naombeni mniambie kama ni kizuri na pia kama kina hostels karibu. Nafwatilia majibu yote wapendwa.
  3. Jamming

    JamiiForums Tupunguze kukurupuka kuhusiana na kufutwa kwa diploma ya juu ya ualimu

    mbona serikali inatufanyia hivi? TulipopataPrinciple passes za E form six tuliambiwa hatuna vigezo vya kuingia degree tukavumilia tukaapply diploma, sasa tena tunaambiwa hakuna diploma tunatakiwa tusome cheti, hivi hii serikali inatutakia mema kweli? hivi tunaelekea wapi? Hatima yetu sisi watoto...
Back
Top Bottom