Sielewi maana ya "hali mbaya". Kwa sababu ya ushoga? Halafu sababu nyingi za sisi kulalamikia ushoga (na mambo mengine) zinatokana na imani zetu za kidini ambazo hizo pia zilikuwa 'imported' kwetu kutoka nje ya bala la Afrika. Mpaka Mwafrika awe na falsafa zake mwenyewe na kuamua mambo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.