Recent content by Jamespa

  1. J

    Aibu kwa CCM...

    Ccm kwisha kabisa! Wanabeba watu kila kona na kuwahonga ili waende kwenye mkutano wa leo jangwani. Hii ni aibu kubwa sana, hata mikutano ya kawaida tu wananunua watu! Hapa mwenge stand kuna coaster tatu, wahuni wa stend wamepewa bia na viroba ili wapelekwe jangwani kushangilia na kupiga makofi...
Back
Top Bottom