Recent content by jamesmmassy

  1. J

    Naomba mbinu za kudhibiti na kusimamia hesabu za mgahawa wa chakula

    Ndugu zangu waungwana natarajia kuanzisha mgahawa au sehemu ya kuuzia chakula cha kupikwa ila nategemea kuweka msimamizi au manager wa kusimamia hiyo biashara kwa kuwa mimi nina biashara nyingine itaniwia vigumu kuganda hapoapo, kwa hiyo kwa yeyote mtaala au mwenye uelewa na hiyo biashara...
  2. J

    Biashara ya zao la alizeti

    Wandugu poleni na majukumu ya kila siku, Kilicho nisukuma kutumia dakika kadhaa kuandika hapa ni kuwa nahitaji mtu anae elewa mambo mengi kuhusu zao la alizeti, kwa mfano, linapo limwa kwa wingi, upatikanaji wake, mahali viwanda vilipo, na ikibidi soko lake, n.k Huyu mtu inawezekana anahitaji...
  3. J

    Nauza business plan ya alizeti

    Tushirikiane tuendelee; jamesmmassy@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    Natafuta mtaalam wa mapishi

    Jamesmmassy@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    Natafuta mtaalam wa mapishi

    Nilisahau kitu muhimu jamani, napatikana dar es salaam , magomeni mapipa, kwa sasa niko safari, nikirudi nitaweka no. tuwasiliane kwa aliye tayar Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    Natafuta mtaalam wa mapishi

    Hapana sihitaji kufundishwa, nahitaji mtu wa kumuajiri au wa kufanya nae kazi kama share kwa makubaliano maalum
  7. J

    Natafuta mtaalam wa mapishi

    Jamani natafuta mwenye utaalam au mtaalam wa maswala ya mapishi ya vitu adimu adimu kama vile cake za aina tofauti, na bites bites za aina tofauti, n.k, tufanye kazi kisasa zaidi. Unaweza kuweka mawasiliano yako hapa then nitakutafuta.
Back
Top Bottom