Recent content by jamesarberto

  1. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kwa iyo unasoma certficate miaka 2 then diploma miaka 3 jumla miaka 5 cyo
  2. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mtu anayesoma certificate ya clinical medicine anaweza pitiliza had diploma na ni miaka mingap kusoma diploma hyo.
  3. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    taarifa ya habar hyo ilitolewa na katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii Dk Donan mmbando.amesema serikali itaendelea kufuatilia na kusimamia viwango vya taaluma ya uuguz na ukunga ili kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya afya nchini. hiyo ndio habar yao brother
  4. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    wadau mbona website ya nacte kwangu haifunghki leo ila jana ilikuwa poa na pia website ya chuo nilichotuma maombi private haifunguki leo ila jana ilkuwa powa.
  5. jamesarberto

    Maombi ya nafasi za masomo ya Afya

    jaman nina c3 za olevel kwenye masomo ya science ya physics,chemistry na biologia ila math nna E nmeomba diploma ya mdical lab science pale st francis medical collage je naweza pata wadau
  6. jamesarberto

    Shule ya Polisi, Tangazo

    kwenye hii tovuti. www.policeforce.co.tz fungua homepage utakutana na taarifa fuata maelezo ifungue utakuta majina mkuu
  7. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    sawa nashukuru mana muda unazid kwenda mawazo yanajaa kichwani kuhusu ilo.mana nilchaguliwa HGE five huko madaba na mm lengo langu ni PCB
  8. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kaka hivi kufeli kwa math na alama E kunaweza kukynyima qualifications ikiwa fizikia,kemia,bios una C yote na english una B
  9. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    da brother wanazid kutuweka roho juu yani bora watoe tujue moja nin tunafanya hata mm nina C3 za pcb lakin math E na english B nmeomba diploma in medical lab sciencd kule st francis ifakara na nmeapply government lakin had sasa cna uhakika wa kupata hyo hapa nakosa had aman na mzee alishaandaa...
  10. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    lakin kweli hizo selection zitatoka lini jaman home pana boa sana
  11. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    ada serikalini ni 995000 labda ipande kwetu tuendao mwaka huu lakin kwa wale wenye bima za afya ni 850000
  12. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    ni kwel nmesoma upya ile habri ni kwa wale wa shahada ndio muda umeongezwa samahanin kwa hilo ndugu zangu
  13. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    in all my ways i have to acknowladge him and he shall ditect my paths. ninashukuru sana kaka kwa hilo nmekuelewa sana na nalifanyia sana kaz ila ni woha na hofu tu ziliniingia
  14. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    sawa kaka nashukuru kwa hilo ntasoma
  15. jamesarberto

    Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kwel ilikuwa tarehe 2 ila wakasogeza hadi tarehe 16 na wamesogeza tena mbele had tarehe 31 hii ni kwa higher education kuanzia ordinary diploma mkuu maelezo zaid yapo nacte kwa home page yao
Back
Top Bottom