Mkuu Fl Studio au kwa kina(fruits loops)ni moja ya Daws(digital audio workstation),,kwa maana ya program inayotumika kutengenezea aina muziki upendao,,mfn,,rnb,zouk,hiphop,n,k yenyewe inaconnect plugins (vyombo vya ala mbalimbali)kama kinanda,drums,snare, kuweza kupata ladha mzur(hapa 2ite...