Mu vipi wangwana? Ningependa kujua kama mna waandishi hapa katika utandawazi wa Wikipedia ya Kiswahili. Mimi ni mwandishi humo na nimeng'amua kwamba wengi wanaohariri ni wazungu. Yafaa sisi kama wenyeji wa Kiswahili kuwa mstari wa mbele katika kuandika. Hamna kwa mfano makala kuwahusu waandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.