Jamani, ninaomba muelewe kwa makini kuwa, "Kinachomfanya Nape Nnauye Ale, Avae, Alale, ni maneno ya mdomo wake na mara nyingi maneno ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini ila akishatumwa aseme hivyo, hana budi ya kutekeleza".
Muoneeni huruma kijana mwenzetu! Siku moja ataokoka na atajivua...