Recent content by James Lordy Kashirina

  1. James Lordy Kashirina

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Anunnaki

    ANUNNAKI WATATUKOMBOA KUPITIA NIBIRU. [emoji117]KUPITIA SOMO HILI UTAJUA UJIO WA YESU HNA MAANISHA NINI HASA. [emoji117]Kama ambavyo tumeona Nibiru ni chombo ambacho kipo kweli, ambacho pia kinaitwa Meli mama yaani Mothership. Nibiru ilikuja kwenye mfumo wetu wa Jua wakati wa kuanza kwa...
  2. James Lordy Kashirina

    JamiiForums Tanzania 𝗔liens & extraterrestriakls. Sehemu ya pil (part 2)

    Kwa mujibu wa wikipedia Black eyed Children (Or Black-eyed kids) are a contemporary legend of supposed paranormal creatures that resemble children between the ages of 6 and 16, (1) with pale skinnand black eyes, who are reportedly seen hitchhiking or panhandling[citation beeded], or are...
  3. James Lordy Kashirina

    JamiiForums Tanzania Aliens & extraterrestrials

    UTANGULIZI [emoji117]Kuna tofauti kati ya Aliens na Extraterrestrials. Extraterrestrials inatokana na maneno "Extra" na "Terra". Terra inamaanisha Dunia Extra ni Zaidi kwa hiyo extraterrestrials ni viumbe wa angani (Celestrial beings) kutoka kwenye dunia nyingine wanaokuja kutokea kwenye dunia...
  4. James Lordy Kashirina

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya tatu: Kanuni ya nguvu ya umakini (Focus)

    Bado tupo katika sheria kuu kumi ambazo zina uwezo mkubwa kwa mwanadamu katika kujitambua na kufahamu zaidi maajabu ya ulimwengu. Sheria ya kwanza ilikuwa inasema kuwa ili kitu kuwepo au hali kuwepo lazima kuwepo kuwa sababu yake. Kwa maana kuwa hakuna tokeo lisilo na chanzo. Kila hali ina...
Back
Top Bottom