Siwalaumu sana polisi kwani vitu vingine wanafanya kutokana na mazingira. Wewe mtu ndo kakuweka kazini (kinyume na utaratibu/sheria za jeshi) kwa kuwa yeye ni mkuu wa kitengo fulani katika jeshi. Alafu baadae anakwambia mshiriki nae kufanya uharifu, na ukikataa anakushtaki kwa kugushi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.