Recent content by jamadari

  1. jamadari

    KISIA HUYU NI MWANAMKE AU MWANAMME? KAZI KWAKo

    Huyu ni Mwanamke ila ana Hormone za kiume ndio maana ameota ndevu si Mwanamme huyu jamani. Mkuu MziziMkavu unawachanganya watu huyu ni Mwanamke mwenye ndevu za kiume jamani. MAANA YA NDEVU KWA MWANAMKE: Kuwa na ndevu kwa mwanamke ni dalili ya kupata fedha au mali au kupata heshima na...
  2. jamadari

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Mkuu bandu bandu Hakuachanganyi Mkuu MziziMkavu mimi mwenyewe nimenunuwa hizi dawa Dollar 329 hizo dollar 29 pesa unakatwa Bank Ya Western Union unavyomtumia pesa. Na unasema maneno ya uongo hakuna Dawa za bei ya dollar 60 hiyo dawa itakuwa ni Dawa ni Feki sio Orignall kuna watu...
  3. jamadari

    Picha ya nguvu iliyonivutia leo jamani mama wa nguvu huyu jamani

    Kwani wewe unavyofikiria uzuri wa mwanamke upo wapi? Uso wake hajichubuwi ndio maana akawa mzuri ingelikuwa anajichubuwa asingelikuwa si mzuri acha wivu wako usiokuwa na maana mpe sifa zake Mama Michele Mzuri Nature.
  4. jamadari

    Picha ya nguvu iliyonivutia leo jamani mama wa nguvu huyu jamani

    Mama Obama ana uzuri wa kuzaliwa hajichubuwi uso kama hao wanawake zenu wa kibongo wanaojichubuwa sura zao mkuu unataka aweje huyo Mama Obama ni mrembo Nature.
  5. jamadari

    Umasikini ni maradhi yasiyotibika katika nchi masikini duniani?

    She lives in a drain pipe, but to her its still important to get her child to school. This is humbling - be thankful for what you have.
  6. jamadari

    Maisha bora kwa kila m-danganyika...............

    Hujuwi kuwa kandambili ni ishara ya umasikini wa ki-Tanzania? upo pamoja na mimi mkuu?
  7. jamadari

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Mkuu.@MziziMkavu sisi wengine tuliokuwa wanene tutakutafuta ili tuweze kutumia hizo dawa zako asante sana.
  8. jamadari

    Mchumba wa mpenzi wangu anataka kunilipa ili waendelee na taratibu za ndoa.

    Mkuu.@kwamtoro Chukuwa huo mpunga muache huyo demu aende zake utapata wengine wazuri zaidi yake. Money Talks.
  9. jamadari

    Arvs mkombozi au muuaji aliyejificha - sehemu ya i

    Tangu kuingia kwa dawa za kuvubaza VVU (ARVs) kumeripotiwa kuwepo kwa mafanikio makubwa katika kuboresha afya za watu wanaoishi na VVU kwa kusaidia kupunguza idadi ya VVU na kuongeza idadi ya chembe nyeupe za CD4 zinazosaidia mwili kujilinda na maradhi. Lakini ARVs ni nini? Kuna makundi...
  10. jamadari

    Kuosha uso mara kwa mara hukufanya uonekane mzee

    Siku hizi watu wengi wanapenda kuonekana vijana, kuanzia kwa watu mashuhuri hadi kwa watu wasio mashuhuri, hakuna mtu anayetaka kuzeeka. Tafiti zinaonesha kuwa kuna baadhi ya matendo ambayo waweza kufanya au kuyaepuka huweza kukusaidia kupunguza au kukufanya uonekana mzee kabla ya muda...
  11. jamadari

    Dawa ya stress

    Dawa ya kutibu Stress Jaribu hizi njia huenda hiyo Stress yako ikaondoka. 1. Jaribu kuwa kimya nyumbani au chumbani, 2. Koga maji ya umoto moto au vuguvugu kadri upendavyo au kama una mke/mume mwambie akukande kande na maji mgongoni. 3.Ukimaliza oga jifute mwili kisha paka lotion ya lavender...
  12. jamadari

    Koo langu - Msaada please

    Mkuu.@Njaa Nenda hopitali kuu ya Muhimbili hapo Mjini Dar kama upo hapo.La kama haupo hapo nenda hospitali kubwa unapoishi wewe usidharau hayo matatizo yasije baadae yakawa ni makubwa uwe muangalifu.
  13. jamadari

    Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Hujatuambia wewe kwanza ni Mwanamme au Mwanamke? mbona unatuchanganya? Nijuavyo mimi kuhusu ( Chango la tumbo ni ugonjwa wa wanawake) sasa wewe ni Mwanamke? Kwa wanaume wanapata ugonjwa wa ngiri sio chango la tumbo. Hebu fuata ushauri wa mkuu MziziMkavu hapo chini utafanikiwa.Ukiwa na ngiri...
Back
Top Bottom