Recent content by Jamada

  1. J

    KERO Responded Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tunaomba kutatuliwa changamoto ya matokeo tangu 2020 hatujapata vyeti

    Namimi nina CHANGAMOTO hii ya MATOKEO aiseee Toka 2018....Itabidi chuo wafanye jambo
  2. J

    Kuna changamoto gani katika kutumia king'amuzi cha Azam cha Malawi?

    Naomba code ya kuruhusu channel baada ya kulipia kifurushi cha uganda
  3. J

    Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    OK shukran ....kwahyo niifungue tena au ...niifanyeje mkuu.....make haionyeshi chochote kwenye screen isijekuwa imeungua
  4. J

    Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Yaani nilifungua display ya PC ya HP EliteBook 8440p kwa kuwa ilikuwa inaonyesha mistsri mistari iliyokuwa inanafanya screen iionyeshe Mara mbili sasa wakat nimeifungua nauchomeka mkanda vizuri ikatokea sparks na kijiharufu cha kama cha kuungua kitu ndani basi nikaifunga lakini nikiiwasha...
  5. J

    Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Mkuu naomba msaada niltoa screen kucheck kama haijaunganishwa vizuri kwa sababu ilikuwa inaonyesha mistari mistari michache kwenye screen na imetenga screen mara mbili lakini screen iko mwishon mwishon then nikaiwasha huku naunganisha screen na na kiwaya kinachoingia ndani Mara nikaona kama...
Back
Top Bottom