Recent content by jam jamal

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais mteule Dr Magufuli atuma salamu kwa wanafiki ndani ya CCM

    Mi nadhani juha ni wewe, wanafk huwez kufanya nao kazi sehemu moja, acha awatimue wakaunde chama chao km alivofanya zitto baada ya kuhamisha CHADEMA.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

    Naona usiempenda kaja, kwa taarifa yako hakuna halmashauri itakayoundwa na ukawa maana sio chama
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

    Mwizi kaibiwa tamu hiyo, haya maisha yaendelee basi magufuli yy ni kazi tu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

    Kigoma mjini na zipo wake
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Nchi za East Afrika aliyempongeza Magufuli

    anakualika ukashuhudie wakati anaapishwa naona moyo umeungua mweusi tiii ndo maana uko km ulivo, uchaguzi umeisha tupange Maendeleo, uongozi Unatoka kwa mungu sio binadam
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waangalizi wa kimataifa wasema uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na haki

    Sasa hapo nani anataka kuvunja muungano. Zanzibar ni nchi na inakatiba yake. Usilete umbulula waachie wenyewe we dili na kwako huku Tanganyika
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waangalizi wa kimataifa wasema uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na haki

    Na wewe ngiri hv huku ndo Zanzibar. Soma kwanza
  8. J

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Mkuu kwani wewe ukijamba mbele ya wanao unakubaligi mwanao akwambie kweli. Tulia magufuli afanye yake mtanyooka tu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Mshahama sasa mwataka katiba sio urais. Ma mbulula wengi sana nchi hii. Hebu mpisheni Lubuva afanye kazi yake
  10. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

    Unafamilia best
  11. J

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Naangu kolokocho. Pole bhana mabadiliko ni ubunge urais magufuli mtu wa kazi
  12. J

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Aste aste aste asteeeeeee hadi magogoni hapa kazi tu
  13. J

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Sishangai lakin wamawia ni wabishi sana. Utarudi Mozambique tu
  14. J

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Duuuh unaroho ngumu wewe bado tu hujaamin kuwa magufuli ndo rais wako. We kiboko
  15. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Sawa we ushapona au ndo unaanza kuumwa. Tulia magufuli afanye yake mtanyooka tu
Back
Top Bottom