Recent content by jaluz

  1. J

    JamiiForums Tanzania GPA zetu bongo kweli ni kizungumkuti

    Vyuo vya private wanauza gpa tu hamna lolote,udsm hamna pumba hizo ndo maana kinafanya vizuri katika viwango vya kimataifa..najua inawauma lkn ukweli ndo huo wadau
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tunaomba ushauri wako tafadhali

    asante kwa habar
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa combination mpya ya CBM

    nakumbuka mwenge boys nilivyosota na pcb leo nasoma computer eng,hiv unafikir kila mtu anataka kuwa docta we kilaza?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Saut: Musa na sautso waichafua, wanafunzi wengi waacha chuo, ukahaba nje nje.

    Ndo tofauti ya udsm na nyie
  5. J

    JamiiForums Tanzania je inawezekana wadau?

    haiwezekani
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo walimu walipofika...

    Alichoongea ni sawa,philosophers walivyoongelea juu ya lengo la elimu ni tofaut na kinachofanyka sasa hiv,tatizo serikal
  7. J

    JamiiForums Tanzania Form four results 2012

    hilo wenge lako subiri tu,mwezi march dogo
  8. J

    JamiiForums Tanzania kw nini udsm hwafungui branches mikoani au nje ya tz

    Wana duce tunapata shida,kila kitu kinafanyika main cumpus..naona bora tusiwe chini ya udsm
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hivi udom ni chuo au high level school

    Ni kweli udsm hakuna ubabaishaji,ukweli ndo huo ndugu zangu
  10. J

    JamiiForums Tanzania waoooo!

    happy new year wana JF!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    Udom ni sawa na mtu mwenye kipara alafu hana mshiko,mtabadilisha sana bahasha kwenye kutafuta kazi! UTAIKUMBUKA POST HII
  12. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la 7 ni kituko na ni aibu kwa taifa

    Siasa mpaka kwenye elimu;inaboa sio siri maana watoto wanazidi kupotezwa,hisabati kama kawa kuchagua a,b,c...duuuh!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

    Mliochangia naona mnatoka udom,huyo mtoa mada nahis anakichafua chuo chenu kionekane cha kata sasa!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wana duce

    Tuwahi kurudi chuo maana ratiba ya ue ishatoka tangu tar 26 dec
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ba education at muslim univ of morogoro (mum)

    Toa vigezo ndugu,usiandike tu..au unakitambulisha maana wengi hawakijui kipo wapi kwan hata tcu hakipo!!
Back
Top Bottom