Recent content by Jakamoyo msoga

  1. Jakamoyo msoga

    If Jacob Zuma was jailed the former president, who is Sabaya, a merely District Commissioner!

    Sabaya court decision is not news. The outcomes were known from the date he was arrested. More importantly, this matter has political backups and background. It isn't news and not a surprise. If Jacob Zuma was jailed the former president, who is Sabaya, a merely District Commissioner! One...
  2. Jakamoyo msoga

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Mshana ishu so coastal Union tatizo Pamba ya kule kwa wasukuma walileta ushamba wakadhani wanaweza sana mchezo Kumbe master wapo
  3. Jakamoyo msoga

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Nao akina Polepole wanafutika soon waganga njaa alafu akina kasimu na bashiru ni maslahi binafsi ya Meko!!!! Fuatilia saga la mfuniko wa Mafuta bandarini lililosanuliwa na sospeter alipobiwa na bwana Joseph!!!! Ninyi Magufuli was a thief
  4. Jakamoyo msoga

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Hakuna uchanya wowote hapo Angemtoa hata Waziri wa fedha na afya ameogopa bit la washauri kwamba asitikise sana
  5. Jakamoyo msoga

    Kadaraja kenyewe kafupi haka, kwa miezi 65 kalikuwa na uchungu

    Kundenge alitaka amuue naye baada ya kuzongwa zongwa na Lodilofa kwamba anayofanya siyo sahihi onhoooo Ikala kwa Lodi Lofa kwamba ni heart attack Saa nyingine wanasiasa sijui Kama watapata cha kujibu huko mbinguni
  6. Jakamoyo msoga

    Kadaraja kenyewe kafupi haka, kwa miezi 65 kalikuwa na uchungu

    I told them we are back
  7. Jakamoyo msoga

    Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Kwa mara ya pili Tanzania Waziri Mkuu anaenda kusitishwa uongozi katikati tukumbuke Warioba na Sokoine waliwai kusitisha uwaziri mkuu kwa sababu mbali mbali Sokoine ilikuwa kwa ajili ya Masomo Lakin Warioba ilikuwa kushindwa kutoa ushauri murua . Wengine wanaoaga ni Nchemba anapelekwa Kilimo...
  8. Jakamoyo msoga

    CCM imechoka ikachokwa ikachochekana ! Wanachama wenye uwezo wa kuongoza wamebaki wachache mno! Orodha yenyewe hii

    Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii 1. Prof Mussa Assad 2. …………..
  9. Jakamoyo msoga

    Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Kunywa maji kidogo alafu fanya marekebisho Wasukuma na Budagala wenu vipi jamani hahaha
Back
Top Bottom