Recent content by jajo47

  1. J

    Biashara ya kuuza genge

    Ndani ya week mbili nitatoa feedback na kuhusu huyo mtu wa kumuajiri, aweze kusimamia na kuuza, Je malipo yanakuwaje?! Ushauri jamani
  2. J

    Biashara ya kuuza genge

    Asante ngoja nikafanye survey, nitawapa feedback, asanteni sana sana mmenitia moyo kwa kweli
  3. J

    Biashara ya kuuza genge

    Asante sana maana nimekuwa nikisubiri response nitafanya hivyo
  4. J

    Biashara ya kuuza genge

    Swali 1: Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ningependa kufanya biashara ya kuuza genge, naomba msaada wenu mwenye kujua naweza nunua wapi vitu vya sokoni kwa bei nzuri na nikimuajiri mtu aniuzie inabidi nimlipaje? Natanguliza shukurani.. Swali 2: Pinkshlady Habari wana jf, nina wazo...
Back
Top Bottom