Recent content by Jaji matundu

  1. Jaji matundu

    Picha: Halima Mdee na mwenzake wafunika kwenye kampeni leo

    See hio picha imepigwa wakati mkutano haujaanza.
  2. Jaji matundu

    GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Huyu mama ni timu membe naona katumwa na membe kuharibu hewa.
  3. Jaji matundu

    GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Watanzania if you have nothing to to lose ni bora ukae kimya ila if you have something to lose usikae kimya amani sio kutopigana makonde mnaweza kupigana makonde na ukabaki na amani vilevile.
  4. Jaji matundu

    Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

    Huyu jamaa anavyoingia ingia kwenye hilo kanisa halafu nije niskie eti kanisa katoliki linapinga kujiongezea muda.
  5. Jaji matundu

    Msigwa: Hata mimi nina faili la Spika akimsema vibaya "Mkuu"

    Mi sishtushwi na hao praiz team kwanza siwaiti praiz team mi nawaita prank team wanamchezea prank baba wawatu anajiona anapendwa kumbe niprank tu .Wote hawa wanao mwambia aongeze muhula wanamfanyia prank tu.
  6. Jaji matundu

    RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Akishatoka madarakani ajiaandae kujiita Athmani Omari
  7. Jaji matundu

    RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Makomda naskoa alikua anaitwaga Bashite kabla ya kupata vyeo alipopata vyeo akajiita paul Makonda sasa ajiandae akidha tola madarakani Athumani Omari.
  8. Jaji matundu

    Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

    Usalama unaowapa uhuru wala rushwa na madikteta uhuru wa habari na kujieleza na kukandamiza wananchi na uhuru wao ni sawa na usalama unaotaka kutufanya watumwa kuacha
  9. Jaji matundu

    Spika Ndugai tangu sherehe za Uhuru amehamia Chato na Mwanza utadhani ndio Kongwa

    Mleta mada hizo ishu ungeuliza walioolewa ndio wanafaham?
  10. Jaji matundu

    Rwaitama, sisi ambao tumo ndani ya 20% ya waliobaki ambao walikuwepo kabla ya uhuru, tukae tu kuiona Tanzania inavyopaa tusijitoe ubinadamu

    Ila watanzania nyie ni vichwa maji mnataka mkae tuu mkitaka hao wazee wa 20% waje wa watetee..Ndio maana hata wanaharakati watanzania wanakufa moyo kwa sababu hawapati sapot..hata huyo mzee Rwaitama sioni kama ana lakupoteza coz hata sapoti hana naona kawa piga banter la kiaina “tulieni...
  11. Jaji matundu

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Genius gani hata kingereza hajui
  12. Jaji matundu

    Watanzania tunaandaa taifa la hovyo kuliko yote duniani

    Magufuli hahitaji mtu anae msapotsapot kila jambo some time uneshe uelewa wako kwenye jambo analo kuelekeza ukimsapot sana atakuona ni weak na ita pelekea yeye kukupa kauli yoyote inayo kuja kichwani mwake mfano "serikali haina shamba"(kagera) "uzazi wa mpango hauna maana" "sitaongeza mishahara"...
Back
Top Bottom