Recent content by Jahad

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Hii ndo nchi ambayo mwanasiasa tena mwny elimu ndogo tu akathaminiwa nakutukuzwa kwa posho na malipo lakini mtaalam Daktar,mwalim,mhandisi etc, wakalipwa mishahara midogo na posho kiduchu. Hii ni Tanzania ambayo kuingia ktk siasa ni deal la pesa CHADEMA waseme nn si bora hata uyo ZZK analalama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Safi sana ndg makonda vijana tuna nafac yetu yakutetea nchi kwa manufaa ya wote, watu ---------- kuvuruga chama kwa manufaa yao binafsi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Duh cdm tena kwny ukanda. tuamie jeshin siasa zinakera heri jeshi likamate nchi tu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Thanks kwa taarifa, ndg
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka sory naomba unitazimie jina la MOHAMED PAZI si wenye tenco pdf haifunguki
Back
Top Bottom