Recent content by jacobgervas

  1. jacobgervas

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Fikra sahihi hujengwa na watu sahihi hatuna haja ya kukurupuka twende taratibu tutaipata katiba yetu tunayoihitaji. Tukumbuke pia wambili havai moja tumekua na changamoto nyingi katika serikali zetu hizi mbili ya muungano na ya mapinduzi ya z'bar kwahiyo kuongeza serikali ya tatu ni mzigo...
  2. jacobgervas

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Watu wengi tunalalamika bila kutoa hoja za msingi hivi CCM wamefanya dhambi gani kubwa? kwani ni lazima watu wote tuwe na mawazo sawa kuhusu muundo wa serikali? katika nchi yenye watu zaidi ml.45 sio rahisi wote tukawaza sawa kwanza hao wananchi tunaowasema waliotoa maoni walikua laki tatu kati...
  3. jacobgervas

    Bunge la Katiba Kuahirishwa

    Siku zote penda kujifunza hata kama ukweli unauma huwezi kusikia yale unayoyataka kila saa na kila wakati ndio maana ya democrasia ukipenda kusikia unayoyapenda tu utakua na marafiki wanafiki watakao cheka ukiwa nao na watakuongelea SHIT BEHIND YOUR BACK!
  4. jacobgervas

    Bunge la Katiba Kuahirishwa

    Nafikiri watu huwa wanota kutokana their heart desires hivi unaposema BMK lina ahirishwa! liahirishwe kwa kwa sababu gani ya msingi binafsi ukawa naona sio hoja tena yakujadili. Kwasababu me nakosa imani na watu kama hawa hasa kwa mambo wanayoendelea kuyafanya kwa kua nje ya bunge mpaka...
  5. jacobgervas

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    Nahisi mr president alikua sahihi kueleza msimamo wake kama kiongozi wanchi sioni tatizo wala kosa alilolifanya raisi. Hivi raisi kueleza msimamo wake kuhusu serikali mbili kuna tatizo gani? Kwa sababu mi nahisi tulihitaji kujua msimamo wa kiongozi wetu maneno haya hata angesema nje ya bunge...
  6. jacobgervas

    To be Honest, Wanachokifanya UKAWA sasa hivi ni Hujuma dhidi ya Nchi.

    Binafsi pia naona ukawa hawana mapenzi mema na nchi hii katika kipindi muhimu kama hichi wao wanatoka nje tena kwa sababu zisizo na mashiko! ushauri wangu warudi tu bungeni coz mlevi hasusiwi pombe
Back
Top Bottom