Recent content by jacob gervas

  1. jacob gervas

    Rais Magufuli: Utumbuaji majipu usitafsiriwe kama ukatili

    Kweli mr q kwann ulifiche taifa uovu ambao watu wanafanya kwa mfano rais angesema nn anapoamua kumfukuza kitwanga...? tupo zama za ukweli na uwazi kwani ni tusiseme ukweli kitwanga alijua anafanya kosa na bado alienda kujibu hadharani......Magufuri big up
  2. jacob gervas

    Ujumbe Maridadi Kwa Wanaohoji au Kupuuzia Sababu Ya Kitwanga Kung'olewa

    Al in all magu amefanya jambo zuri ni lazima watu wawajibike kwa makosa yake kma waziri wa nchi kuingia ukiwa umelewa ni jambo la lisilo kubadilika hata kidogo
  3. jacob gervas

    Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Me pia sijaona kama amechuja
Back
Top Bottom