Recent content by jacma

  1. J

    Geita - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kwa goli la mkonoo yes, ila kwa kura halali za watanzania, in you day dream.
  2. J

    Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    pole sana kaka, umepotea. Sikutegemea kama sehemu za Morogoro kuna watu wanapost maswala ya Mwanza, najiuliza ni nini.....ulimbukeni, ujingaaa au kutokujiamini. Ukabila na ukanda kapost fb, tuache wenye kujadili vya maana tufanye yetu. Rudi mwanza utuache na Morogoro yetu. Vurugu hatutaki mkuu
  3. J

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    umeongea vyema mkuu...hatuogopi wala nini maana tunajua kuwa kuna baadhi ya mikoa goli la mkono limefanikiwa pia. Hapa wakubali wakatae Ikulu atangia Lowasa tuu though Mwanza kipindi hichi wameboa.
  4. J

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    shikamooni mbeya, safi sana pale ambapo mnaelewa nchi yenu na hamfanyi makosa. :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
  5. J

    Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

    Lool! tunamsubiri tuu arudi maana sisiem wanaongea mengi sana......mwaka huu lazima kieleweke tuu, MABADILIKO HOYEEEEEEEE.....UKAWA JUUU
  6. J

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Kuumbuka si kweli mkuu, unless otherwise kuna cha kumuumbua CDM mbele kwa mbele cha maana CCM itoke madarakani basi
  7. J

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    masikin wa kufikiri sana asee nyie, na bora upewe umaskn kuliko kuwa maskn wa kufikiri" nawaonea huruma sana! Hamien kenya maana na upumbavu wetu hamna mahakama ya kadh hapa tz...muwe reasonable
  8. J

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    .......meitaja bakwata kwa ujasiri kabisa coz inaonekana hujafuatilia conversation zlizopita juu...naomba usome kisha uandike swali lako tena....nitakudirect kwa mwenzio aliyeipondea bakwata humu akuelezee lawama za bakwata Tanzania
  9. J

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    kweni zaid ya hayo mawazo ni kipi kingine cha msingi mnachowazaga? Unaona Tz hapakufai hamia zanzibar au kenya mtuachie aman yetu
  10. J

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    ukafiri mwaona ni neno kuvwa sanaaaaa ila si twaona n jambo dogo tuu halitusumbui kichwa" ila ndugu zetu muslim mkitaka kufanikiwa mubadili fikra zenu kwanza....maana mnawaza vyakufikirika saana, wakuonewa ninyie tuuu kila siku, fujo ni nyie tuu, sijui tatizo n nn" waislam wengine wenye...
  11. J

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    na mm nauliza....kwann mnapenda kujiona inferiors? Alafu hata muwe weng nyie n watu wa kuonewa tuu kwenye akili zenu, nakwambia hata mkipewa dunia mtaona mnaonewa tuu....wenenu kwenye shule zenu wakazane na madrasa kuliko masomo ya kawaida mseme necta inacheza mchezo.....kwan kwenye necta hamna...
  12. J

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    tatizo lenu waislam ndo hili, mnajionaga inferiors tuu, mnaona ni watu wakuonewa kila kukicha, kitu kikienda kinyume na mnavyotaka mnaanzisha fujo na kusema mnaonewa....hii nchi sio ya kidini ni ya watanzania" sasa kama unataka mambo ya kenya tanzania hamia kenya" achen ushamba wa kufikiri...
  13. J

    Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    hizi ni dalili na majibu ya watu wasiojielewa kabisa.......wameishiwa na utashi wa kufikiri" @ vyoo vya madrasa, tangu lini mahali pachafu pakaingia watakatifu"? Kama ndivyo nyie watakatifu mbaki na utakatifu wenu, mahakama ya kadi ibaki kwa watakatifu waislam! ........"
  14. J

    Bila Mahakama ya Kadhi, hakuna Katiba Mpya. Angalia baadhi ya Maoni ya Waislamu yaliodharauliwa.

    ...kama ni issue za kidini na mahakama ya kadhi ni kwaajili ya kutimiza matakwa ya kiislam,m naona ni bora ibaki misikitini tuu, kukataa mafanikio ya kupita katiba au kukubali kuwe kwaajili ya manufaa ya wananchi wote bila kujali dini, kabila wala rangi.....tupunguze kuiga vya watu tufanye ya...
Back
Top Bottom