Recent content by JacksonMichael

  1. J

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    ZZK ulipaswa kutangaza kujitoa , umetudisappoint mwanakwetu.
  2. J

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Hii ni fact ambayo inabidi aieleze, huwezi kumshawishi mtu kuwa mvuta bangi aliyefukuzwa kimbia NCCR au yule mzinifu mwizi wa wake za watu aliyekimbia CCM kwa kutokupitishwa kwenye kura za maoni wana mapenzi ya dhati na CDM kuliko ZZK ambaye amekulia humo!!!!! Huu ni uwendawazimu at its best.....
  3. J

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    ZZK Tangaza kujitoa CDM tupopamoja na wewe hatutaki ubabaishaji
  4. J

    Wastaafu EAC "Waiumbua",Waikana CHADEMA

    Wenye akili utawajua tu
  5. J

    Wastaafu EAC "Waiumbua",Waikana CHADEMA

    Hii iwe fundisho kwa CDM, si vyema kutumia shida za wazee wetu kujinufaisha kisiasa, swala la kisheria liachwe kisheria sio kuliingiza kisiasa.
  6. J

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    MOD tafadhari Msticky hii comment
  7. J

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Hadhi ya JF imeshuka kwa statement hii
  8. J

    Spika Makinda hakumtendea haki mh.Halima Mdee.

    Tume ya katiba hata mimi nimezisikia hizi tuhuma toka kwa mwanachama mmoja wa CDM, ila bado nazifuatilia. Nitakujuza nikizithibitisha.
Back
Top Bottom