Kwa kweli leo nimeshanga et askari wa uhamiaji anakitambi!!! sijawahi ona, nayeye anjikubali kwamba eti ni askari mchapakazi,serikali inabidi iwafundishe watuishi wake namna ya kula,maana niwazembe kazini kwasababu ya kula vibaya.
Et wanasema Tanzania kuna amani,huku wanafunzi wanauawa bila hata makosa alafu serikali inawafariji kwa kutoa rambirambi na kugharamikia shughuli zote za mazishi,.Taratibu tena kwa uhakika wale wanao jiita viongozi bora wanapoteza sifa zao na kulielekeza taifa kwenye uharibifu mkubwa tena usio faa,.
Kweli hata mimi nashangaa kwamba serikali imeamua kumlimbikizia waziri wa elimu madaraka yote hayo ,huku elimu ikimshinda na anataabika anakosa cha kufanya.
sio muhimu sana kwa mwanafunzi kujua jina la kiongozi wake afu ambaye hausiki naye moja kwa moja na inahusiana nini na masomo ya mwanafunzi,Hata hivyo wengine tulikuwa hatumfahamu waziri wa elimu ,leo ndo tumemuona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.