Mzee Kitine alimwaga sana fedha, na alikua kwenye kampeni zake anawapikia watu ubwabwa, kuna muda flani miaka ile ya 1995 ubwabwa waliutungia kitine, ila vijana walifanya revolution wakampiga chini, iringa mjini una historia ya upinzani tangu na tangu
Itasaidia nini wakati hata CCM wapate kura sifuri kwa katiba iliyopo wataendelea kutawala hata wakataliwe na watu milioni hamsini watatawala hawang'oki kwa katiba hii, mpk siku watu watakapokuja kuwatoa kwa nguvu(kukinukisha)
Nape Nnauye katibu mwenezi wa CCM amesema hadharani kua CCM itashinda hata kwa goli la mkono, ina maana wapo tayari kushinda hata kwa kucheza rafu na faulo, mimi ni shabiki mkubwa wa DR Slaa, ila kwa mazingira ya goli la mkono Lowasa anafaa anaweza kucheza rafu kwa sabab amekua huko huko kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.