Wanazuku habari ya asubuhi samahani mimi nimefungiwa Zuku tarehe 25/3/2012. wakatii nanunua niliambiwa naangalia free mwezi mzima ambayo inaisha tarehe 24/ 4/2013 jana nimetumiwa Msg na zuku nambiwa nilipe 40,000 kabla ya tarehe 24 na wakati nilisajili nilipe 20,000 kwa mwezi ntakaoanza sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.