Kwa kifupi kuabudu ni haki ya kikatiba kwa kila mtanzania.
Walemavu wakusikia kama walivyo alemavu wengine wamesahaulika kabisa sehemu za ibada kama misikitini,makanisani.hata katika baadhi ya makusanyiko ya kijamii
Walemavu wa kusikia wanakutana na changamoto kadhaa katika maeneo ya ibada...
Ukitembelea baraka la usuluhishi la kazi na ajira CMA walalamikaji wengi ni vijana ,wanapewa title kubwa ila maslahi ni madogo,bima ya afya hakuna, na wale wa commission based ndio shida.
"Ugumu wa maisha kaka umenifanya nifanye kazi hii na kuachana na taaluma yangu. Huu ni mwaka wa tatu nauza simu, maisha yanapaswa kuendelea"
Ni kauli ya kijana mmoja pale Makumbusho inayoonekana yakishujaa ila ndani yake yamejaa maumivu kwanza kwa kijana kama alipoteza muda kusomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.