Recent content by jacklinekahu

  1. J

    Maelekezo ya mahesabu mapya kwa wadaiwa wa loan board

    ndesalee hiyo ni zaidi ya 10% maana hata mimi ilikua hivo ila for now limeongezeka na nilibakiza kama 1m kumaliza deni ila walivoreculculate imeonekana nadaiwa like 6m ndo natafuta anaejua sheria anisaidie maana sidhani kama mkataba wa awali tuliosign unaruhusu kuwa na ongezeko na kwanini...
  2. J

    Maelekezo ya mahesabu mapya kwa wadaiwa wa loan board

    yani its a serious problem maana makato ni madogo na watu wengi hawana awareness maana kama unakatwa elfu 50 ama elfu 40 huwezi kujua hata wakiongeza amount ila imefika wakati basi watueleweshe vizuri wahusika wa loan board
  3. J

    Maelekezo ya mahesabu mapya kwa wadaiwa wa loan board

    tunahitaji ufafanuzi yakinifu kutoka Loan Board
  4. J

    Maelekezo ya mahesabu mapya kwa wadaiwa wa loan board

    hilo ni moja la tatizo na sasa hivi unaeza kwenda ukaomba statement wakikupigia tena mahesabu unaweza ukakimbia sasa sijuia wanataka tuwalipie na wale ambao hawajapata kazi na kuanza kulipwa??kiukweli nahitaji mwanasheria maana nilivyoanza kulipa deni langu lilikua 5m na kama walivyoleta kwa...
  5. J

    Maelekezo ya mahesabu mapya kwa wadaiwa wa loan board

    yani kwa sasa wanachokifanya ni kuwa wanapiga mahesabu upya, so kama ulishaanza kulipa na deni lako ili kumaliza ni sh milioni moja basi ukienda kuomba statement kujua deni limebakia kiasi gani ili umalize mkopo unaodaiwa ndo wanareculculate upya, mfano mie nilikua nimebakiza kiasi cha sh...
  6. J

    Maelekezo ya mahesabu mapya kwa wadaiwa wa HESLB

    Habari, Mie ni mdaiwa wa bodi ya mkopo nilikua naomba kupata maelekezo kuhusu upigaji upya wa mahesabu wa tunaodaiwa na Loan Board, kiukweli nilipata shida sana ambapo siku ya alhamis nilifika katika ofisi za Bodi ya Mkopo nia ni kulipa deni langu ambalo lilikua limebakia kiasi cha sh milioni...
  7. J

    Maelekezo ya mahesabu mapya kwa wadaiwa wa loan board

    Habari, Mie ni mdaiwa wa bodi ya mkopo, nilikuwa naomba kupata maelekezo kuhusu upigaji upya wa mahesabu wa tunaodaiwa na Loan Board. Kiukweli nilipata shida sana ambapo siku ya Alhamisi nilifika katika ofisi za Bodi ya Mkopo nia ni kulipa deni langu ambalo lilikuwa limebakia kiasi cha sh...
Back
Top Bottom