Zipo njia nyingi sana wanaweza wakajifunza na kufanya kama chanzo cha ajira. Mfano nimejifunza graphics na designing mtandaoni na kuwauliza wanaojua katika mazingira yangu.
Lakini pia najifunza kiingereza international cha kuongea na kuandika , hii inaongeza nafasi za chochote nitakachotaka...
Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza.
Sio kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.