nacholaum ni utaratib wa kumsummons mahakamani...ikiwa hana hatia je...haikuwa na ulazima kumtaja au kuwataja redioni wakati sheria ziko wazi kuwa unakuwa innocent until proven guilty....the treatment now inakuwa ka tayar wako prooved
Ninachojarib kukifaham ni the whole procedures of extraction of these computer forensics evidence jinsi inavoaffect admissibility yake mahakaman...ambapo watalaam wa forensic wananisaidia kujua aina ya cyber crime...wanaziproove vp nk.
Nikweli uelewa wa jamii juu ya uwepo wa kitengo hiki ni mdogo, lakin kipo na kinafanya kazi. Pia rate ya cyber imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka kutoka na matumiz makubwa ya mtandao. Japo sheria imekuwa nyuma kidogo kwenye kuyadefine makoxa ya mtandao. Japo kuna amendments zimefanyika kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.