Recent content by jackiedmos

  1. J

    Natafuta Nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mbezi Africana, Goig, samaki na the rest of Mbezi. Iwe nyumba ya kujitegemea(si ya kushea) Vyumba 2 hadi vitatu, Maji muhimu, parking. master, sebule, dining na jiko. Offer ni 300,000 maximum. thanks
  2. J

    Natafuta nyumba

    nyumba ya kupanga ndo nnayoulizia. 250,000 pm
  3. J

    Natafuta nyumba

    natafuta nyumba maeneo ya kuanzia mbezi Africana kurudi hadi kijitonyama hadi makumbusho. vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, dining, na parking. Thanks
Back
Top Bottom