Inshort unaruhusiwakulipa nusu katika ada ambayo ni laki sita n point zake na pia ulipe 158,000 kwa ajili ya direct cost inyoinclude registration, medical, exams fee tec, na medical ni 60,000/= sio laki n unalipa yote hata kama unabima, na hostel ni 79,000/= na sio 78,000/= usipolipa hostel...