Recent content by JABALI LA KARNE

  1. JABALI LA KARNE

    Mjane ananipenda sana

    Wanasema age is just a number but if the difference is too big then it maters.
  2. JABALI LA KARNE

    Nchi za Magharibi zitashinda vita na Urusi, Magharibi wanapigana kisayansi Putin yatamkuta ya Saddam Hussein muda sio mrefu

    Ataadhirika kwenye mgogoro na Eukrain au atavuka mpaka wa Eukrain ndipo ataadhirika?
  3. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuna mipaka yetu ina matatizo madogo madogo ,wanajeshi wanatumia nguvu kuhakikisha tupo salama. Hawa wataalam inabidi max asaidie watambulike kuisaidia nchi kimkakati.
  4. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Vikwazo vitaumiza zaidi watu wa mjini. Huko vijijini weshazoea maji ya visima na kuhifadhi vyakula baada ya kuvuna.
  5. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tatizo letu ni chumvi ili tuonekane tunajua. Kuna mmoja katoka kunikasirikia hapa kwa kumcheka habari zake alizozijaza madoido utadhani yeye ndo anatoa maelekezo kwa puttin.
  6. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nina wivu na Russia, Eukrain au nina wivu na wewe? Una stress.
  7. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ninachotaka kukuonyesha ni kwamba hakuna jambo utakalolijua wewe uliyepo huku halafu wenyevita vyao wasilijue boss. Kama unajua ni propaganda na ni kweli ni propaganda basi na russia wanajua ni propaganda.
  8. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    😂😂😂 unajua haya mambo yanachekesha sana. Kuna mmoja huku anasema kuna mambo anayajua ambayo warusi hawajayajua na yanawachanganya kweli.😂😂😂😂
  9. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mtanzania wewe anajua kuwa ni propaganda lakini mrusi na ukraine wanajua ni kweli. Waukraine wanapata moyo, warusi habari zinawachanganya wanazidisha maandamano. Hichi ndicho ulichokisema ndugu yangu😃😃
  10. JABALI LA KARNE

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nilitakiwa nikupinge ili tubishane😂😂. Daa
Back
Top Bottom