Recent content by J4junior

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta kazi, mimi ni Mhitimu wa Sheria

    Sio kishoka Sehemu kama CMA anaruhusiwa kumuwakilisha mtu Kwa mujibu wa sheria kabisaa sio lazima awe wakili ndo amuwakilishe mtu hapo CMA.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    Waliomba kibali kutokana na udharula uliokuepo ndio maana walifanya wao wenyewe,
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hii PDF inatufanya tusikose data aisee,itoke tu tujue mbivu na mbichi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Yeyote kaitwa kwenye usaili na African Court on Human and People's Rights?

    Wakuu hakuna mpya maana muda unayoyoma tu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yeyote kaitwa kwenye usaili na African Court on Human and People's Rights?

    Tusubiri tu mkuu deadline imepita tayar tusubiri Kama zari la kuitwa likitokea Basi tunajitupia tu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yeyote kaitwa kwenye usaili na African Court on Human and People's Rights?

    Hahaahhaahhaaha braza kule hawakurupuki aseee..
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Shirika la kujitolea la kijamii Mwanza

    TANZANIA EMPOWERING AND LEGAL AID ORGANIZATION
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yeyote kaitwa kwenye usaili na African Court on Human and People's Rights?

    Vuta subira mkuu,naona wamerudia zile nafas karibia zote
  9. J

    JamiiForums Tanzania Yeyote kaitwa kwenye usaili na African Court on Human and People's Rights?

    Mzee naona tusubiri mpaka may hapo maana mchakato uwa unachukua mwezi mzima.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yeyote kaitwa kwenye usaili na African Court on Human and People's Rights?

    Mkuu kule ukiitwa ni kumshukuru Mungu maana mchakato ni mrefu Sana asee
  11. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Waita watu kwa usaili wa ana kwa ana

    Image zipi mkuu!?Amna Kaka sio kwamba sijakubali ila ni vile tu,haki inavyopindishwa,ndo maana naongea ila matokeo nimeyakubali...kwasababu ndo ishakuwa hivyo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Mmmmmmmh!!!!!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Mchunguzi msaidizi anachukua laki 8 na 16,kabla ya makato.ipo hivyo mkuu ukitaka mengine siwezi kupublish hapa ,mpka posho mkoa ,wilaya tunazijua braza usiione tumekaa kimya,na kuna posho ya kila tar 5,acha niishie hapo
  14. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    SIO KWELI.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Amna malalamiko lazima yawepo kwakua haki imepindishwa watu wameumia just imagine mtu kaanza kuaply kuanzia pt -then ata kweny taasisi km hii pia kuwe kuna madudu,inauma kimtindo.
Back
Top Bottom