Recent content by J boya frani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Tukirejea mkataba wa UN, Israel ndiyo iliyovuka mpaka kuingia katika ardhi ya Palestina ila tukiweka udini tutamuona Israel yupo sahihi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Nchi ilishagawanywa miaka mingi na mipaka ilishawekwa ugomvi unaoendelea ni kutokana na upande mmoja kuvuka mipaka na kukalia ardhi ya mwenzie kimabavu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Sio kama tunapenda mkuu! maisha magumu huyo mke atakula nini? ikiwa mimi mwenyewe naishi kwa kupiga pasi ndefu
  4. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

    Ilikuwa raha unasoma unaenda zako leo tumekuwa wageni
Back
Top Bottom