Ndugu zangu mim ni mwanafunzi wa chuo ambae nipo kwenye mahusiano na msichana ambae ni mdogo kiumri kwangu pia bado mwanafunzi yupo form6 fedha girls saivi na ni msichana ambae kwao kuna uwezo na mimi nipo kwenye standard level.
I mean maisha ya kati but mwanzo nilimfata baada ya kuwa tuna...
Ukiwa unatembez faida inaonekan bat mda mwingine unapo ongea na baadhi ya wateja wanauliza permanent prace ambayo napatikana na Lengo ni kukuza biashara na brand at the same time
Kulingana na matatiz ya kifamilia naona kuna Haja ya kufany biashara angalau niweze kusaidia japo kwa kiasi chake bat at the same time naona umuimu wa kuendelea na chuo what should I do
Mimi ni mwanafunzi ambae namalizia elimu yangu ya biashara CBE ila kwa sasa siitaji tena kuendelea na masomo naitaji kuanzish biashara yangu binafsi na biashala ninayo taka kufanya ni biashara ya kuuza nguo za mtumba za kike japo sio mala ya kwanza kufanya hii biashara ila kwa sasa nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.