Recent content by izle

  1. izle

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Huu Ni Uzuri Mwingine Wa Watanzania Wachache Waliobaki... Ukweli Mkavu Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
  2. izle

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Weka vigezo vya kujiaminisha kuwa hakuna kifo kipangwacho na Mungu
  3. izle

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Kwasababu umezingirwa na upofu wa ufahamu wa Mungu, utaendelea kufurahia maoni ya wanaojidanganya km wewe
  4. izle

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Tupe ushahidi wa ukisemacho
  5. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Unaelewa nini kwa neno 'PENGINE' Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
  6. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Utapata muda wa kutambua uwepo wa Mungu na pengine ukafa ukiwa na mwisho mwema kiimani juu ya Mungu wa kweli Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
  7. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Ms Jimena,,,, tenga muda wa kujifunza kupitia vitabu hivi, kuna faida utapata
  8. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Majibu yangu kwa mrengo uutakao,,, yatabadili kabisa maudhui ya huu uzi... Injili ya kweli ni ile iliyokuwepo kabla ya "Mtume" Paul hajaichakachua... Nalenga agano la kale la Biblia
  9. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Anajithibitisha kupitia Taurat, Zaburi, Injili ya kweli na Qur'an. Upo tayari ajithibitishe kupitia vitabu vyake hivi vitukufu? Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
  10. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Uko tayari kumjua Mungu wa kweli na mmoja kupitia vitabu vyake vinne? Taurat, Zaburi, Injili ya kweli na Qur'an? Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
  11. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Nimekuwa nakufuatilia sn. Maswali yako huwa ni magumu mno kwa watu wa upande wa pili,,,,. Atheists. Safi sn kwa matumizi sahihi ya akili Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
  12. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Ni mbaya/aibu sn Ku- determine suala la Mungu na uwepo wake Bila kujifunza na kumjua kupitia vitabu vyake na Sayansi pia. Nakushauri jifunze, mwisho wa ck hautajiuliza maswali Mepesi kiwango hiki
  13. izle

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Sikukatazi kujibu hoja zao juu ya kila kitu KUHUSIANA na Qur'an KWA Qur'an ila ni vyema Ukawa makini sn kutumia Qur'an kujibu hoja za Qur'an. Majibu yako yatakuwa msaada mkubwa sn kwa walio tayari kujifunza
  14. izle

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Weka Tuone Hizo Sababu Zenu Za Kupinga Uwepo Wa Mungu
  15. izle

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Sasa Imani utajengewaje wkt ushahidi unapatikana ktk usivyoviamini uwepo wao kiimani?
Back
Top Bottom