Mifumo hii ya kifisadi ilikwisha jichimbia chini sana katika nchi hii kwa hiyo tunahitaji mabadiliko! Sasa mafisadi wakisikia mabadiliko wanaanza kuwatishia wananchi kuwa ni kuleta vita. Sasa kwa woga wa vita au kwa kushabikia mafisadi wananchi wanawaunga mkono mafisadi na nchi inaendelea...
Utafiti ulikwishafanyika na sasa wanatakiwa wawekezaji wa kutengeneza coal brikets wawauzie wananchi. Stamico wameanza kutengeneza lakini hakuna wasambazaji! Kwa hiyo unahimizwa kuanza biashara hii!
Siyo kweli kwa sababu radioactivity ya material haitegemei moto, ipo tu kiasili (naturally). Kwa hiyo hayo madhara yangewakumba zaidi wanaochimba na siyo wanaotumia!
Majibu:
1. Ndiyo yanafaa lakini ni vema yakasafishwa na maji kuondoa sulphur. Kinachotakiwa ni kuyaponda ponda yawe vipande vidogo, safisha na maji kuondoa sulphur, anika kukausha maji na kisha changanya na mkaa wa kawaida, washa moto na endelea kutumia.
2. Madhara ni yale yale ya kutumia mkaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.