Recent content by Iweee

  1. I

    Plot4Sale Kiwanja hot cake cha heka 6 kinauzwa kiromo bagamoyo

    Duh! Mbona watu wa JF mnakatisha sana tamaa...Hata hivyo najua huwezi kumridhisha kila mwanadamu...Kwa atakayehitaji au kama una ndugu yako anahitaji usisite kunijulisha...Kamisheni kwa atakayeleta mteja ipo. Asante sana
  2. I

    Plot4Sale Kiwanja hot cake cha heka 6 kinauzwa kiromo bagamoyo

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Baada ya kufanya tathimini ya muda na kuweza kuangalia thamani ya bei katika eneo husika na kushauriana na familia yangu, tukaona ni vyema tupunguze bei kidogo...
  3. I

    Plot4Sale KIWANJA HEKA 6 KINAUZWA BAGAMOYO KILOMO

    Milioni 28 mazungumzo yapo
  4. I

    Plot4Sale KIWANJA HEKA 6 KINAUZWA BAGAMOYO KILOMO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na kuendelea, umbali kutoka barabara ya lami ni 1.5km, ukitoka Dar ni kituo kilicho mbele ya kwa Awadh...
  5. I

    Plot4Sale KIWANJA HEKA 6 KINAUZWA BAGAMOYO KILOMO

    ipo upande wa kushoto ukiwa unatokea Dar es salaam
  6. I

    Plot4Sale KIWANJA HEKA 6 KINAUZWA BAGAMOYO KILOMO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kilomo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na kuendelea, umbali kutoka barabara ya lami ni 1.5km, ukitoka Dar ni kituo kilicho mbele ya kwa Awadh...
Back
Top Bottom