Hi, kwa wenye watoto au wataalamu wa maswala haya,please ningeomba kujua kama kuna madhara yeyote nisipo mnyoa nywele za utotoni mtoto wangu,amezaliwa na nywele nyingi na ningehitaji nisimnyoe nianze kuzikuza kuanzia sasa.Ushauri kwa anaefahamu please.
Hi all, naomba msaada kwa anaefahamu hili, mimi ni mama wa mtoto wa miezi miwili now, mwanangu ana tatizo la ukavu kichwani kunakomsababishia mba naona kama atakuwa anawashwa sema bado ajajua cha kufanya.
Kwa sasa nampaka mafuta ya nazi ya kutengeneza nyumbani baada ya product za johnson...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.