Recent content by Ivan said

  1. I

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Unapaswa kutunukiwa degree ya ufalsafa. Umenena Mkuu.
  2. I

    Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

    Mawaxo Hiyo ni marekani na hii Tanzania. Hatuwezi kuiga kila kitu kama dodoki.
  3. I

    Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

    Wewe sijui uchumi wako ulisomea wapi!. Ukitaka ubane kila kona hivi mzunguko wa fedha utawafikiaje wananchi?. Nchi yenye wakazi zaidi ya milioni hamsini kuwa na wawakilishi zaidi ya mia NNE bungeni ni jambo muhimu sana. Sio kila jambo ni la kupinga tu bila tathmini ya kina.
  4. I

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Kwa muda mrefu nlikuwa natumia simu kufanya miamala ya fedha. Kwa ujambazi na uzandiki huu wa Mwigulu Nchemba nairudia ATM yangu. Eti Mwigulu anabwabwaja mate bungeni kuwa anawahurumia Watanzania!. Angeonesha huruma hiyo kwa kutoa sehemu ya Mali yake kusaidia watanzania na sio kwa uzandiki na...
  5. I

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Fedha mtaaani hakuna halafu wananchi tunabebeshwa mizigo ya miamala. Mwigulu alimshauri vibaya Rais Samia kuhusu tozo ya miamala ya simu. Juzi nkatuma 30,000/= tozo 11,00/=, jana nkatuma tena tozo 11,00/=, leo nimetuma 105,000/= tozo 2530/=!. Ni nn hiki Mwigulu Nchemba?. Hii ni dhuluma na wizi...
  6. I

    Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Umesema vema kiongozi, kodi tulipe wote na mama anakwenda vizuri ni suala tu la kumpa muda.
  7. I

    Ubovu wa barabara ya Mombasa kwa Mkolemba

    Ukitazama barabara ya Mombasa kwa mkolemba jimbo la ukonga utajiuliza yu wapi Jerry Slaa mbunge wa jimbo la Ukonga?. Upo wapi mheshimiwa mbunge au unasubiri 2025 tena uje na porojo hewa kwetu sisi wananchi tunaotaabika kwa ubovu wa barabara ya Mombasa, Moshi bar, Kwa Mkolemba, Kanyigo, Mwembeni...
  8. I

    Ummy Mwalimu: Tozo ya uzalendo ni ubunifu, tunajenga barabara vijijini

    Barabara ya Mombasa, moshi bar,kwa mkolemba, kanyigo mwembeni, fremu kumi hadi njia pandaya msongola ni kero ya muda mrefu. Vyombo vya usafiri wa moto bajaji, pikipiki na magari vinapata changamoto kwa hii njia mbovu sana! Sijui kama Jerry (mb)ameikumbuka hii njia katika 1.5 bilioni ambazomama...
  9. I

    Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hana kosa lolote anahukumiwa kimakosa

    Ikatokea kila Mkuu wa mkoa akawa na misimamo yake kwa mkoa anaowakikisha; nchi itatawalika kweli au ni wakati wa nchi kuongozwa kimajimbo?. Anthony Mtaka atakuwa amepitiliza katika kutetea hoja yake ya wanafunzi wa darasa la mtihani kuwa kambini kujiandaa kwa mitihani ya taifa. Mkakati wake ni...
  10. I

    Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Anthony Mtaka amenena ukweli mtupu mtupu kweli na kweli kumuweka mtu guru. Viongozi kama hawa ni muhimu sana kwa wakati huu wa dunia ya kidigitali. Acha watoto wasome kwa sababu wapo na walimu wao na viongozi wa kijiji hadi mkoa. Ushauri tu, ni viongozi kuwa na semina ya kunong'onezana...
  11. I

    Mwalimu asimamishwa kazi kwa kumtukana Rais Samia

    Silinde angeachia mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kimya kimya (uncompromised investigation ) ndipo hatua stahiki zichukuliwe dhidi mwalimu. Mwalimu Mkuu yupo (msimamizi wa walimu), afisa elimu yupo (Mkuu wa idara), TSC wapo (mamlaka ya nidhamu), mkurugenzi yupo (mwajiri mwakilishi wa Rais)...
Back
Top Bottom