Recent content by Its Me

  1. Its Me

    viwanja viwanja viwanja mji mwema kigamboni

    Viwanja vinauzwa kigamboni mji mwema mwenye uhitaji tuwasiliane kwa # 0712462970 vpo katika maeneo yaliyoendelezwa na yaliyokaribu na bara bar a kuu; umeme umefika..... ni kwa jili ya makazi
  2. Its Me

    Uchaguzi Ndani Ya CHADEMA, Tunamwomba Mbowe Asigombee Tena

    sawa tusubirir mkutano mkuu wa chama ndio utaamua mustakabali wa chama chetu hasa katika nafasi nyeti za juu za uongozi wetu....
  3. Its Me

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    asanteni sana kwa kutuletea huu mdaharo bila shaka pumba na mahindi vitajulikana kabla ya kupata katiba mpya...
  4. Its Me

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    sasa napata kuelewa japo kwa sshida nini maaan aya shutuma hzo,,,, kweli ni vigumu kuulewa huu walaka kama ilivo vigumu kuunga mkono au kuupinga..... nmekuelewa mheshimiwa zito kabwe heshima yako sana na pole kwa mkasa huo.
  5. Its Me

    Tamko kuhusu Shutuma juu ya Kitila Mkumbo (Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA)

    SISI TUMEKUELEWA KITILA LAKINI MAMBO NYETI KAMA HAY YANAHITAJI DIPLOMASIA YA HALI YA JUU SANA KUYAJIBI VINGINEVYO UNAWEZA KUJIKWAZA WEWE LAKINI MBAYA ZAIDI UKAWAKWAZA HATA UNAOWAJIBU.... NI VIGUMU KUKUBALI KAMA SIO KWELI LAKINI PIA NI VIGUMU KUKUBALI KAMA NI KWELI.. mnaweza mkawa mnafanya mchezo...
Back
Top Bottom