Recent content by ITMUSTEND

  1. I

    CHADEMA hamuwezi kutwaa dola kwa Chopa na Maandamano, waelezeni wananchi mtawafanyia nini

    Ni makosa makubwa sana kumlinganisha Generali na Kibanda. Usije kuthubutu tena katika maisha yako yaliyobaki. Ni sawa sawa kulinganisha mlima Kilimanjaro na kichuguu. Generali aliwafundisha kuwa thamani ya gazeti siyo jina lake, bali ni kilichomo ndani yake. Hebu sasa linganisha gazeti la Rai na...
  2. I

    Responded Tanzania tupate High Speed Train, Wachina watajenga!

    Reli zetu haziwezi kustahimili speed ya juu. Zinatakiwa zijengwe upya katika ubora unaotakiwa. Vilevile mabehewa yanaotakiwa kwa speed ya juu siyo haya tulionayo, yanaspecial design kwa ajili hiyo.
  3. I

    Mnyika Jiandae: Kiongozi wa Upinzani aliyemfananisha Rais na Kiazi Kizimbani

    Udhaifu siyo tusi ila ni tabia ya mtu. ndiyo maana alipoambiwa hivyo alikaa kimya bila kupinga kwa kuwa anajijua kuwa yeye ni Dhaifu. Na wewe mleta mada hiyo umeonyesha kuwa rais ni dhaifu kwa kumwelekeza raisi achukue hatua. Ni mara nyingi sana watu majukwaani na magezetini walisema kuna ombwe...
  4. I

    Madam SPIKA: Ningekuwa na uwezo ningependekeza Mwingine afe badala ya Mh. Mgimwa

    MAKINDA ni mnafiki sana. Mbona Nape na Kinana waliposema kuwa Mgimwa ni mzigo mbona alikaa kimya?? Na kama mungu angempa chaguo la mtu mwingine kufa angemchagua Nape?kinana?
  5. I

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Unamsemea bure Halima hujui hata kwenye vikao amechangia mawazo gani. Unamchokoza tu ili aseme. By the way kuwa neutral maana yake akili yako imelala haipo A wala haipo B na wala haipo C na haipo mahala popote. VACUUM
  6. I

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Labda niulize hivi hapa duniani hakuna wasaliti? Wasaliti wanarangi gani? utamjuaje mtu Fulani ni msaliti? Ni seme tu kwamba ZZK kwa muda mrefu sana amekuwa akituhumiwa kwa mambo mbalimbali, mengine alikiri. Kwa mfano mawasiliano yake na mkurugenzi wa usalama wa taifa (ccm). Ushaidi upo vilevile...
  7. I

    Wajumbe mkutano mkuu (CHADEMA) wacharuka - kitanzi chamngoja Mbowe

    Nilifikiri hapa wanacomment great thinkers tu, Duuuh Watanzania bado tunasafari ndefu. Umeme kupanda unaathiri uchumi wa nchi ambao utashusha mapato ya serikali. Matibabu yanategemea mapato ya serikali.
  8. I

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    Mimi ni mara yangu ya kwanza kuchangia hapa JF, ila huwa nasoma sana post za hapa JF. Na pia mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Nimesoma mara nyingi sana hapa JF kwamba Zitto asamehewe. Nijuavyo mimi popote duniani kosa la usaliti la aina ya Zitto halisemeheki. Nitatoa mfano...
Back
Top Bottom