Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone.
Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa sababu zilizoelezwa na...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel imezindua kampeni ya promosheni ya ‘Nogesha Valentine na itel’ jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde jijini Dar es Salaam meneja mahusiano wa itel Bw. Fernando Wolle amesema lengo la kampeni hiyo ni kuonesha upendo kwa wateja...
Kampuni ya simu za mkononi ya Itel imetembelea kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chalula na vifaa vya shule.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo jana, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Fernando...
Hello Scars, tafadhali tujuze simu gani inakuletea hitilafu ili tukusaidie kwani tuna huduma nyingi za kuwasaidia wateja wetu hasa wale wanaoweza kukumbana na changamoto ya mifumo ya simu, tuna warantii miezi 13, tuna huduma ya baada ya mauzo yaani after sales service, tuna huduma ya...
Hello Planett, tafadhali tujuze ni simu gani ya itel unatumia na inakuletea shida? Tuna huduma mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia kutatua changamoto yako kwani tuna vituo vya huduma baada ya mauzo yaani 'after sales service', pia tuna huduma ya kubadilishiwa simu bure, kama simu yako imeleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.