Recent content by It2022

  1. It2022

    Mwenye ujuzi wa database administration

    Kuwa database administrator unahitajika ujue vitu vifuatavyo 1. Database design. Watu wengi wanakimbiliaga kujua query pasipo kuwa na msingi sahihi wa namna ya kudesign database. Soma vizuri namna ya kudesign database schema kwa kutumia E-R Diagram... ( Hakikisha umesoma vzuri namna kuestablish...
  2. It2022

    Mwenye uzoefu kuhusu internship TaESA

    Hello ndugu nimetoka kufanya interview ya TAESA, nimesomea computer engineering na haya hapa ndio maswali nimeulizwa 1.Tell us about yourself 2.what are the roles of computer Engineer 3.Why should we select you 4.Are you creative? How creative are you? 5. What are the five ethics of employee
Back
Top Bottom