Mwenye uzoefu na usaili wa written au aptitude test za TAKUKURU atusaidie jamani tujue zinavyokua, maana wameitwa watu wenye taaluma mbali mbali Sasa ningependa kujua kama mtihani unakua Mmoja kwa watu Wa taaluma zote au Kila taaluma watakua na mtihani wao? Nauliza hicho ili tujue wapi pa...
Mwenye uzoefu na usaili wa written au aptitude test za TAKUKURU atusaidie jamani tujue zinavyokua, maana wameitwa watu wenye taaluma mbali mbali Sasa ningependa kujua kama mtihani unakua Mmoja kwa watu WA taaluma zote au Kila taaluma watakua na mtihani wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.