Habari wakuu...
Nilibahatika kununua simu kwa mtu aina ya samsung tracfone j3 luna pro....
Alinifahamisha kua simu hiyo ilikua inatumika south africa ukiingiza laini ya Tanzania haisomi....
Niliipenda sana nikaona bora niichukue ...
Sa shida yangu ni namna ya kipata unlocking code au vyovyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.