habari wanajamii forum naomba kuuliza unaweza vipi kuwekeza kwenye soko la his a Dar-es-salaam.msaada kwa anaefahamu juu ya uwekezaji huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wana JamiiForums, naomba kuuliza bei ya jumla ya kuuzia samaki kwa Arusha ni shillingi ngapi kwa kilo moja au zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamvi,naomba kupata ufafanuzi kati ya DIT na Udsm wapi wanatoa kozi nzur kwa Civil ambayo vtendo vng kulko theory plz naomben msaada wenu kwa mliosomea kwny ivo vyuo ahsantenj
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.