Recent content by issamajid

  1. issamajid

    KERO Huduma za treni ya SGR kwa abiria wa daraja la biashara hazina viwango

    Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa. Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa. Kuna muda abiria wanajazana na hata AC haziwashwi viti vimekaa ovyo kiufupi mazingira hayakidhi kuitwa daraja la...
  2. issamajid

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali banah Ni tatu ndo suluhisho la maendeleo ya Tanzania
Back
Top Bottom